Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Oaths: Custom of swearing by the life of the king

2 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Custom of swearing by the life of the king

  1. Na hivi ndivyo mtakavyojaribiwa: Hakika kama Farao aishivyo, hamtaondoka mahali hapa mpaka ndugu yenu mdogo aje hapa.

  2. Tumeni mmoja wenu akamlete huyo ndugu yenu, wengine mtawekwa gerezani, ili maneno yenu yajaribiwe kuona kama mnasema kweli. La sivyo, hakika kama Farao aishivyo ninyi ni wapelelezi!”