Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Oaths: Judicial from of administering

2 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Judicial from of administering

  1. Mfalme akamwambia, “Je, ni mara ngapi nitakuapisha ili usiniambie kitu chochote ila kweli tu kwa jina la Bwana?”

  2. Lakini Yesu akakaa kimya. Ndipo kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha mbele za Mungu aliye hai. Tuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.”