Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mountains: Causes, to melt

4 mistari · 82 vipengele

Mistari kuhusu Causes, to melt

  1. Milima ilitetemeka mbele za Bwana, hata ule wa Sinai, mbele za Bwana, Mungu wa Israeli.

  2. Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana, mbele za Bwana wa dunia yote.

  3. Laiti ungelipasua mbingu na kushuka chini, ili milima ingelitetemeka mbele zako!

  4. Kwa maana ulipofanya mambo ya kutisha ambayo hatukuyatazamia, ulishuka, nayo milima ikatetemeka mbele zako.