Mistari ya Biblia kuhusu Mountains: The everlasting mountains
Mistari kuhusu The everlasting mountains
Alisimama, akaitikisa dunia; alitazama, na kuyafanya mataifa yatetemeke. Milima ya zamani iligeuka mavumbi na vilima vilivyozeeka vikaanguka. Njia zake ni za milele.