Mistari ya Biblia kuhusu Mountains: Everlasting hills
Mistari kuhusu Everlasting hills
Baraka za baba yako ni kubwa kuliko baraka za milima ya kale, nyingi kuliko vilima vya kale. Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yosefu, juu ya paji la yule mkuu miongoni mwa ndugu zake.