Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mountains: (Breaking forth into singing,) of exceeding joy

2 mistari · 82 vipengele

Mistari kuhusu (Breaking forth into singing,) of exceeding joy

  1. Enyi mbingu, imbeni kwa furaha, kwa maana Bwana amefanya jambo hili. Ee vilindi vya dunia, piga kelele. Enyi milima, pazeni sauti kwa nyimbo, enyi misitu na miti yenu yote, kwa maana Bwana amemkomboa Yakobo, ameuonyesha utukufu wake katika Israeli.

  2. Mtatoka nje kwa furaha na kuongozwa kwa amani; milima na vilima vitapaza sauti kwa nyimbo mbele yenu, nayo miti yote ya shambani itapiga makofi.