Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mountains: Afford refuge in time of danger

4 mistari · 82 vipengele

Mistari kuhusu Afford refuge in time of danger

  1. Basi Bonde la Sidimu lilikuwa limejaa mashimo ya lami, nao wafalme wa Sodoma na wa Gomora walipokimbia, baadhi ya watu walitumbukia huko na wengine wakakimbilia vilimani.

  2. Mkono wa Midiani ukawa na nguvu dhidi ya Israeli na kwa ajili ya Wamidiani, Waisraeli wakajitengenezea mahali pa kujificha milimani, kwenye mapango na ngome.

  3. basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.

  4. watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao. Walizunguka majangwani na milimani, katika mapango na katika mahandaki ardhini.