Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mountains: (Burning,) of destructive enemies

2 mistari · 82 vipengele

Mistari kuhusu (Burning,) of destructive enemies

  1. “Mimi niko kinyume nawe, ee mlima unaoharibu, wewe uangamizaye dunia yote,” asema Bwana. “Nitanyoosha mkono wangu dhidi yako, nikuvingirishe kutoka kwenye kilele cha mwamba, na kukufanya mlima ulioteketezwa kwa moto.

  2. Malaika wa pili akaipiga tarumbeta yake na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto kikatupwa baharini. Theluthi ya bahari ikawa damu,