Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jerusalem: To be rebuilt by Cyrus

3 mistari · 117 vipengele

Mistari kuhusu To be rebuilt by Cyrus

  1. niyathibitishaye maneno ya watumishi wake, na kutimiza utabiri wa wajumbe wake, “niambiaye Yerusalemu, ‘Itakaliwa na watu,’ niambiaye miji ya Yuda kuwa, ‘Itajengwa,’ na kuhusu magofu yake, ‘Mimi nitayatengeneza,’

  2. niambiaye kilindi cha maji, ‘Kauka, nami nitakausha vijito vyako,’

  3. nisemaye kuhusu Koreshi, ‘Yeye ni mchungaji wangu, naye atatimiza yote yanipendezayo; atauambia Yerusalemu, “Ukajengwe tena,” na kuhusu Hekalu, “Misingi yake na iwekwe.” ’