Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jerusalem: To be destroyed by the Romans

3 mistari · 117 vipengele

Mistari kuhusu To be destroyed by the Romans

  1. akisema, “Laiti ungalijua hata wewe leo yale ambayo yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako.

  2. Hakika siku zinakujia, ambazo adui zako watakuzingira, nao watakuzunguka pande zote na kukuzuilia ndani.

  3. Watakuponda chini, wewe na watoto walioko ndani ya kuta zako. Nao hawataacha hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukutambua wakati wa kujiliwa kwako.”