Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jerusalem: Miraculous gift of the Holy Spirit first given at

5 mistari · 117 vipengele

Mistari kuhusu Miraculous gift of the Holy Spirit first given at

  1. Siku ya Pentekoste ilipowadia, waamini wote walikuwa mahali pamoja.

  2. Ghafula sauti kama mvumo mkubwa wa upepo mkali uliotoka mbinguni ukaijaza nyumba yote walimokuwa wameketi.

  3. Zikatokea ndimi kama za moto zilizogawanyika na kukaa juu ya kila mmoja wao.

  4. Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.

  5. Basi walikuwepo Yerusalemu Wayahudi wanaomcha Mungu kutoka kila taifa chini ya mbingu.