Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Jebusites

41 mistari · 7 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Kutoka wazao wa Bani: Meshulamu, Maluki, Adaya, Yashubu, Sheali na Yeremothi.

  2. Kutoka wazao wa Pahath-Moabu: Adna, Kelali, Benaya, Maaseya, Matania, Bezaleli, Binui na Manase.

  3. Kutoka wazao wa Harimu: Eliezeri, Ishiya, Malkiya, Shemaya, Shimeoni,

  4. Benyamini, Maluki, na Shemaria.

  5. Kutoka wazao wa Hashumu: Matenai, Matata, Zabadi, Elifeleti, Yeremai, Manase na Shimei.

  6. Kutoka wazao wa Bani: Maadai, Amramu, Ueli,

  7. Benaya, Bedeya, Keluhi,

  8. Vania, Meremothi, Eliashibu,

  9. Matania, Matenai na Yaasu.

  10. Kutoka wazao wa Binui: Shimei,

  11. Shelemia, Nathani, Adaya,

  12. Maknadebai, Shashai, Sharai,

  13. Azareli, Shelemia, Shemaria,

  14. Shalumu, Amaria na Yosefu.

  15. Kutoka wazao wa Nebo: Yeieli, Matithia, Zabadi, Zebina, Yadai, Yoeli na Benaya.

  16. Hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni, na baadhi yao walikuwa wamezaa nao watoto.