Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Afflicted Saints: Should avoid sin

4 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Should avoid sin

  1. “Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena.

  2. Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’

  3. Baadaye Yesu akamkuta yule mtu aliyemponya ndani ya Hekalu na kumwambia, “Tazama umeponywa, usitende dhambi tena. La sivyo, lisije likakupata jambo baya zaidi.”

  4. Kuweni na mwenendo mzuri mbele ya watu wasiomjua Mungu, ili kama wanawasingizia kuwa watenda mabaya, wayaone matendo yenu mema nao wamtukuze Mungu siku atakapokuja kwetu.