Mistari ya Biblia kuhusu Afflicted Saints: God is with
Mistari kuhusu God is with
Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Unapopita kwenye maji makuu, nitakuwa pamoja nawe, unapopita katika mito ya maji, hayatakugharikisha. Utakapopita katika moto, hutaungua, miali ya moto haitakuunguza.