Mistari ya Biblia kuhusu Afflicted Saints: Should not despise chastening
Mistari kuhusu Should not despise chastening
“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi.
Mwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana na usichukie kukaripiwa naye,
Nanyi mmesahau yale maneno ya kuwaonya yanayowataja ninyi kuwa wana, yakisema: “Mwanangu, usidharau adhabu ya Bwana, wala usikate tamaa akikukemea,