Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Afflicted Saints: God delivers

5 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu God delivers

  1. Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.

  2. Mwenye haki ana mateso mengi, lakini Bwana humwokoa nayo yote,

  3. Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, bali mwenye haki huepuka taabu.

  4. Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema Bwana; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa.

  5. Nitakuokoa; hutaanguka kwa upanga, lakini maisha yako yatakuwa salama, kwa sababu unanitumaini, asema Bwana.’ ”