Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Warfare of Saints: Over the flesh

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Over the flesh

  1. Ole wangu mimi maskini! Ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?

  2. Ashukuriwe Mungu kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu! Hivyo basi, mimi mwenyewe kwa akili zangu ni mtumwa wa sheria ya Mungu, lakini katika asili ya dhambi ni mtumwa wa sheria ya dhambi.

  3. Wote walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili na shauku zake pamoja na tamaa zake.