Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Warfare of Saints: Often arises from the opposition of friends or relatives

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Often arises from the opposition of friends or relatives

  1. Kwa kuwa mwana humdharau baba yake, naye binti huinuka dhidi ya mama yake, mkwe kuwa kinyume na mama mkwe wake: adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake hasa.

  2. Kwa maana nimekuja kumfitini “ ‘mtu na babaye, binti na mamaye, mkwe na mama mkwe wake;

  3. nao adui za mtu watakuwa ni wale watu wa nyumbani kwake.’