Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Warfare of Saints: With prayer

4 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu With prayer

  1. Zaburi ya Daudi. Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami.

  2. Chukua ngao na kigao. Inuka unisaidie.

  3. Inua mkuki wako na fumo lako dhidi ya hao wanaonifuatia. Iambie nafsi yangu, “Mimi ni wokovu wako.”

  4. Mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote.