Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Warfare of Saints: With steadfastness in the faith

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu With steadfastness in the faith

  1. Kesheni, simameni imara katika imani, fanyeni kiume, kuweni mashujaa kuweni hodari.

  2. Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.

  3. Mpingeni, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kwamba mateso kama hayo yanawapata ndugu zenu pote duniani.