Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Walls: Frequently made of stone and wood together

2 mistari · 48 vipengele

Mistari kuhusu Frequently made of stone and wood together

  1. Inampasa Mfalme ajue kwamba tulikwenda katika eneo la Yuda, kwenye Hekalu la Mungu mkuu. Watu wanalijenga kwa mawe makubwa na kuweka mbao kwenye kuta. Kazi inafanyika kwa bidii na inaendelea kwa haraka chini ya uongozi wao.

  2. Mawe ya kuta yatapiga kelele, na mihimili ya kazi ya mbao itarudisha mwangwi wake.