Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Walls: Were probably often strengthened with plates of iron or brass

2 mistari · 48 vipengele

Mistari kuhusu Were probably often strengthened with plates of iron or brass

  1. Nitakufanya wewe uwe ukuta kwa watu hawa, ngome ya ukuta wa shaba; watapigana nawe lakini hawatakushinda, kwa maana mimi niko pamoja nawe kukuponya na kukuokoa,” asema Bwana.

  2. Kisha chukua bamba la chuma, ukalisimamishe liwe kama ukuta wa chuma kati yako na huo mji, nawe uuelekeze uso wako. Huo mji utakuwa katika hali ya kuzingirwa, nawe utauzingira. Hii itakuwa ishara kwa nyumba ya Israeli.