Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Walls: Adroitness of soldiers in scaling alluded to

3 mistari · 48 vipengele

Mistari kuhusu Adroitness of soldiers in scaling alluded to

  1. Wanashambulia kama wapiganaji wa vita; wanapanda kuta kama askari. Wote wanatembea katika safu, hawapotoshi safu zao.

  2. Hakuna anayemsukuma mwenzake; kila mmoja anakwenda mbele moja kwa moja. Wanapita katika vizuizi bila kuharibu safu zao.

  3. Wanaenda kasi kuingia mjini; wanakimbia ukutani. Wanaingia ndani ya nyumba; kwa kuingilia madirishani kama wevi.