Thebez
32.3200, 35.3600 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Thebez
Baadaye Abimeleki akaenda Thebesi na kuuzingira kwa jeshi na kuuteka.
Ni nani aliyemuua Abimeleki mwana wa Yerub-Besheth? Je, mwanamke hakutupa juu yake jiwe la juu la kusagia kutoka ukutani, kwa hiyo akafa huko Thebesi? Kwa nini mlisogea hivyo karibu ya ukuta?’ Ikiwa atakuuliza hivi, ndipo umwambie, ‘Pia mtumishi wako Uria, Mhiti, amekufa.’ ”