Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Vineyards: The wicked judicially deprived of the enjoyment of

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu The wicked judicially deprived of the enjoyment of

  1. Mnamgandamiza maskini na kumlazimisha awape nafaka. Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari, hamtaishi ndani yake; ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu, hamtakunywa divai yake.

  2. Utajiri wao utatekwa nyara, nyumba zao zitabomolewa. Watajenga nyumba, lakini hawataishi ndani yake; watapanda mizabibu lakini hawatakunywa divai yake.