Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Vineyards: Were often mortgaged

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu Were often mortgaged

  1. Wengine walikuwa wakisema, “Tunaweka rehani mashamba yetu, mashamba ya mizabibu, na nyumba zetu ili tupate nafaka wakati wa njaa.”

  2. Bado kukawa na wengine waliokuwa wakisema, “Ilitubidi tukope fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa ajili ya mashamba yetu na mashamba yetu ya mizabibu.