Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Vineyards: Not to be cultivated in the Sabbatical year

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu Not to be cultivated in the Sabbatical year

  1. lakini katika mwaka wa saba usiilime ardhi wala kuitumia, ili watu walio maskini miongoni mwenu waweze kupata chakula kutoka kwenye hayo mashamba, nao wanyama pori wapate chakula kwa yale mabaki watakayobakiza. Utafanya hivyo katika shamba lako la mizabibu na la mizeituni.

  2. Lakini mwaka wa saba nchi lazima iwe na Sabato ya mapumziko, Sabato kwa Bwana. Msipande mbegu katika mashamba yenu, wala msikate mizabibu yenu matawi.