Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Vineyards: The whole produce of, often destroyed by insects, &c

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu The whole produce of, often destroyed by insects, &c

  1. Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila.

  2. “Mara nyingi nilizipiga bustani zenu na mashamba ya mizabibu, niliyapiga kwa kutu na ukungu. Nzige walitafuna tini zenu na miti ya mizeituni, hata hivyo hamjanirudia mimi,” asema Bwana.