Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of the Holy Spirit: Spirit of Christ

2 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu Spirit of Christ

  1. Lakini ninyi, hamtawaliwi na mwili, bali na Roho, ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu. Mtu yeyote ambaye hana Roho wa Kristo, yeye si wa Kristo.

  2. wakijaribu kujua ni wakati upi na katika mazingira gani ambayo Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao alionyesha, alipotabiri kuhusu mateso ya Kristo na utukufu ule ambao ungefuata.