Rukia maudhui

Ananias

3 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Ananias

  1. Lakini mtu mmoja jina lake Anania pamoja na mkewe Safira waliuza kiwanja.

  2. Petro akamuuliza, “Anania, mbona Shetani ameujaza moyo wako ili kumwambia uongo Roho Mtakatifu, ukaficha sehemu ya fedha ulizopata kutokana na kiwanja?

  3. Anania aliposikia maneno haya akaanguka chini na kufa. Hofu kuu ikawapata wote waliosikia jambo lililokuwa limetukia.