Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of the Holy Spirit: Spirit of truth

2 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu Spirit of truth

  1. Huyo ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu haumwoni wala haumjui. Ninyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi naye anakaa ndani yenu.

  2. “Lakini atakapokuja huyo Msaidizi nitakayemtuma kwenu kutoka kwa Baba, yaani, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia mimi.