Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of the Holy Spirit: Holy Spirit

4 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu Holy Spirit

  1. Usinitupe kutoka mbele zako wala kuniondolea Roho wako Mtakatifu.

  2. Basi ikiwa ninyi mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa Roho Mtakatifu wale wamwombao!”

  3. Ninyi pia mliingia ndani ya Kristo mliposikia Neno la kweli, Injili ya wokovu wenu. Mkiisha kuamini, ndani yake mlitiwa muhuri, yaani, Roho Mtakatifu mliyeahidiwa,

  4. Wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu, ambaye kwake mlitiwa muhuri kwa ajili ya siku ya ukombozi.