Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Saints: Salt of the earth
Mistari kuhusu Salt of the earth
“Ninyi ni chumvi ya ulimwengu. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, yawezaje kurudishiwa ladha yake tena? Haifai tena kwa kitu chochote, ila kutupwa nje ikanyagwe na watu.