Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Saints: Brethren of Christ

2 mistari · 81 vipengele

Mistari kuhusu Brethren of Christ

  1. Yesu akamjibu, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wote wanaolisikia neno la Mungu na kulifanya.”

  2. Yesu akamwambia, “Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ‘Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.’ ”