Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Saints: Friends of God

2 mistari · 81 vipengele

Mistari kuhusu Friends of God

  1. Je, si wewe, Ee Mungu wetu, uliyewafukuza wenyeji wa nchi hii mbele ya watu wako Israeli, ukawapa wazao wa Abrahamu, rafiki yako, hata milele?

  2. Kwa njia hiyo yakatimizwa yale Maandiko yasemayo, “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki,” naye akaitwa rafiki wa Mungu.