Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Saints: Sojourners with God

2 mistari · 81 vipengele

Mistari kuhusu Sojourners with God

  1. “ ‘Kamwe ardhi isiuzwe kwa mkataba wa kudumu, kwa sababu nchi ni mali yangu, nanyi ni wageni na wapangaji wangu.

  2. “Ee Bwana, usikie maombi yangu, usikie kilio changu unisaidie, usiwe kiziwi kwa kulia kwangu. Kwani mimi ninaishi na wewe kama mgeni, kama walivyokuwa baba zangu wote,