Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sun: Expressed the east by rising of

4 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu Expressed the east by rising of

  1. Kisha wakaondoka Obothi na kupiga kambi huko Iye-Abarimu, katika jangwa linalotazamana na Moabu kuelekea mawio ya jua.

  2. Kisha Mose akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani,

  3. Waliimiliki nchi yake na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, wafalme wawili Waamori waliotawala mashariki ya Yordani.

  4. Hawa ndio wafalme wa nchi ambao Waisraeli waliwashinda na kuitwaa nchi yao upande wa mashariki mwa Yordani, kuanzia Bonde la Arnoni mpaka Mlima Hermoni, pamoja na eneo lote la upande wa mashariki ya Araba: