Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sun: Consecrated chariots and horses, as symbols of

1 mstari · 45 vipengele

Mistari kuhusu Consecrated chariots and horses, as symbols of

  1. Akaondoa kutoka kwenye ingilio la Hekalu la Bwana wale farasi ambao wafalme wa Yuda walikuwa wamewaweka wakfu kwa ajili ya jua. Walikuwa kwenye ua karibu na chumba cha afisa aliyeitwa Nathan-Meleki. Basi Yosia akayachoma moto yale magari yaliyokuwa yamewekwa wakfu kwa jua.