Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sun: (Going down at noon,) of premature destruction

2 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu (Going down at noon,) of premature destruction

  1. Mama mwenye watoto saba atazimia na kupumua pumzi yake ya mwisho. Jua lake litatua kungali bado mchana, atatahayarika na kufedheheka. Wale wote waliobaki nitawaua kwa upanga mbele ya adui zao,” asema Bwana.

  2. “Katika siku ile,” asema Bwana Mwenyezi, “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia iwe giza wakati wa mchana mwangavu.