Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sun: Appointed to rule the day

3 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu Appointed to rule the day

  1. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.

  2. Jua litawale mchana, Fadhili zake zadumu milele.

  3. Hili ndilo asemalo Bwana, yeye aliyeweka jua liwake mchana, yeye anayeamuru mwezi na nyota kungʼaa usiku, yeye aichafuaye bahari ili mawimbi yake yangurume; Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake: