Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The First Temple: Charged his princes to assist in building

3 mistari · 72 vipengele

Mistari kuhusu Charged his princes to assist in building

  1. Kisha Daudi akawaamuru viongozi wote wa Israeli wamsaidie Solomoni mwanawe.

  2. Akawaambia, “Je, Bwana Mungu wenu si yuko pamoja na ninyi? Pia si amewapa raha pande zote? Kwa maana amewatia wenyeji wa nchi mkononi mwangu, nayo nchi iko chini ya Bwana na watu wake.

  3. Sasa itoeni mioyo yenu na nafsi zenu katika kumtafuta Bwana Mungu wenu. Anzeni kujenga Maskani ya Bwana Mungu, ili mweze kulileta Sanduku la Agano la Bwana na vyombo vitakatifu vya Mungu katika Hekalu litakalojengwa kwa ajili ya Jina la Bwana.”