Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The First Temple: Filled with the cloud of glory

4 mistari · 72 vipengele

Mistari kuhusu Filled with the cloud of glory

  1. Makuhani walipoondoka katika Mahali Patakatifu, wingu likajaza Hekalu la Bwana.

  2. Nao makuhani hawakuweza kufanya huduma yao kwa sababu ya lile wingu, kwa kuwa utukufu wa Bwana ulijaza Hekalu lake.

  3. Wapiga tarumbeta na waimbaji wakaungana katika sauti linganifu, ikawa kama vile ni sauti moja, wakimsifu na kumshukuru Bwana, nao alipoinua sauti zao pamoja na tarumbeta na matoazi na vyombo vingine vya uimbaji, wakamsifu Bwana wakisema: “Yeye ni mwema; upendo wake unadumu milele.” Ndipo Hekalu la Bwana likajazwa na wingu,

  4. Makuhani hawakuweza kuingia ndani ya Hekalu la Bwana kwa sababu utukufu wa Bwana ulilijaza.