Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The First Temple: Told by the prophet that Solomon should build

3 mistari · 72 vipengele

Mistari kuhusu Told by the prophet that Solomon should build

  1. Siku zako zitakapokwisha nawe ulale pamoja na baba zako, nitainua mzao wako aingie mahali pako, ambaye atatoka viunoni mwako, nami nitauimarisha ufalme wake.

  2. Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili ya Jina langu, nami nitaimarisha kiti cha enzi cha ufalme wake milele.

  3. Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili yangu, nami nitakifanya imara kiti cha ufalme wake milele.