Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The First Temple: Commenced second day of second month of fourth year of Solomon

3 mistari · 72 vipengele

Mistari kuhusu Commenced second day of second month of fourth year of Solomon

  1. Katika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Solomoni katika Israeli, katika mwezi wa Zivu, ambao ndio mwezi wa pili, alianza kujenga Hekalu la Bwana.

  2. Msingi wa Hekalu la Bwana uliwekwa katika mwaka wa nne, katika mwezi wa Zivu, ndio mwezi wa tano.

  3. Alianza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa utawala wake.