Mistari ya Biblia kuhusu Riches: Spend, upon their appetite
Mistari kuhusu Spend, upon their appetite
Atatema mali alizozimeza; Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika.
Atanyonya sumu za majoka; meno ya nyoka mwenye sumu kali yatamuua.
Hatafurahia vijito, mito inayotiririsha asali na siagi.