Skip to content

Shunem

3 verses

32.6000, 35.3300 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Shunem

  1. Eneo lao lilijumuisha: Yezreeli, Kesulothi, Shunemu,

  2. Wafilisti wakakusanyika na kupiga kambi yao huko Shunemu, naye Sauli akawakusanya Waisraeli wote na kupiga kambi yao huko Gilboa.

  3. Siku moja Elisha akaenda Shunemu. Huko kulikuwa na mwanamke mmoja mwenye cheo, ambaye alimsisitiza Elisha aje kula chakula. Kwa hiyo kila mara alipitia pale, akaingia humo ili ale.