Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Riches: Have trouble with

3 mistari · 107 vipengele

Mistari kuhusu Have trouble with

  1. Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu.

  2. Lakini wale watu wanaotamani kuwa na mali kwa haraka huanguka kwenye majaribu, na wamenaswa na tamaa nyingi za kipumbavu zenye kudhuru, zinazowazamisha watu katika uharibifu na maangamizi.

  3. Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.