Mistari ya Biblia kuhusu Protection: Upholding them
Mistari kuhusu Upholding them
kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, lakini Bwana humtegemeza mwenye haki.
ajapojikwaa, hataanguka, kwa maana Bwana humtegemeza kwa mkono wake.
Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.