Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Protection: All dangers

5 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu All dangers

  1. Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, na maradhi ya kuambukiza ya kuua.

  2. Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mbawa zake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.

  3. Hutaogopa vitisho vya usiku, wala mshale urukao mchana,

  4. wala maradhi ya kuambukiza yanayonyemelea gizani, wala tauni iharibuyo adhuhuri.

  5. Ijapo watu elfu wataangukia kando yako, kumi elfu mkono wako wa kuume, lakini haitakukaribia wewe.