Mistari ya Biblia kuhusu Protection: God is faithful to afford
Mistari kuhusu God is faithful to afford
Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Yesu Kristo.
Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.
Lakini Bwana ni mwaminifu, naye atawaimarisha ninyi na kuwalinda kutokana na yule mwovu.